Chapisha

Kuunganisha mfumo wa sauti

Angalia vielelezo hapa chini ili uunganishe mfumo wa sauti kama vile kipokea AV au mwambaa wa sauti.

Kumbuka

  • Temino zinazopatikana hutegemea modeli/eneo/nchi yako.

Muunganisho wa HDMI (ARC unakubaliwa)

  1. Unganisha TV na mfumo wa sauti kwa kutumia kebo ya HDMI.
    Unganisha kwenye temino ya ingizo la TV la HDMI lenye maandishi “ARC”.
    Illustration of the connection method
    1. Kipokea AV au mwambaa wa sauti
    2. Kebo ya HDMI (haijapeanwa)*

    * Tunapendekeza Premium High Speed HDMI Cable(s) iliyoidhinishwa yenye nembo ya HDMI.

  2. Kurekebisha mfumo wa sauti

Muunganisho wa kebo optiki ya dijitali

  1. Ungaisha TV na mfumo wa sauti kwa kebo optiki ya dijitali.
    Unganisha temino ya ingizo optiki ya dijitali ya mfumo wa sauti.
    Illustration of the connection method
    1. Kipokea AV au mwambaa wa Sauti
    2. Kebo optiki ya sauti (haipo)
  2. Kurekebisha mfumo wa sauti

Muunganisho wa kebo ya sauti

  1. Unganisha TV na mfumo wa sauti kwa stereo kwenye kebo ya sauti ya analogi ya RCA.
    Unganisha temino ya ingizo ya sauti ya mfumo wa sauti.
    Illustration of the connection method
    1. Kipokea AV au mwambaa wa Sauti
    2. Kebo ya sauti (haijapeanwa)
  2. Kurekebisha mfumo wa sauti

Kidokezo

  • Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya usaidizi ya Sony.
    Tovuti ya Msaada