Hakuna sauti au sauti iko chini kwenye mfumo wa sauti wa nyumbani.
Teua kwenye maandishi ili uruke hadi kwenye skrini husika ya mipangilio.
- Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uteue [Vipaza sauti] — [Mfumo wa sikizi].
- Weka [Zao la Spika za Kivalia Kichwani/Sikizi] kwa [Zao la sauti (Halibadiliki)] katika mpangilio wa [Sauti].
- Kama mfumo wa sauti hautangamani na Dolby Digital au DTS, weka [Mipangilio] — [Sauti] — [Zao la sauti dijito] kuwa [PCM].
- Ukichagua kituo cha analogi (RF) na picha hazionyeshwi vizuri, utahitajika badilisha mfumo wa matangazo ya TV. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Usanidi wa Idhaa] — [Uwekaji wa analogi] — [Uwekaji kabla wa programu mwenyewe] — [Mfumo wa Runinga]. (Upatikanaji wa [Uwekaji kabla wa programu mwenyewe] au jina la chaguo linafautiana kulingana na eneo/nchi/hali.)
- Kulingana na modeli yako, ikiwa [Vipaza sauti] imewekwa kwa [Vipaza sauti vya runinga] na [Unyumbufuaji juu wa msongo wa juu (DSEE HX)] imewekwa kwa [Oto], DIGITAL AUDIO OUT (OPTICAL) hunyamazishwa.
- Kagua ikiwa mipangilio wa [Kiwango sauti cha zao la sikizi dijitali] ya TV imewekwa kiwango cha juu zaidi.
Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague:
[Mipangilio] — [Sauti] — [Sauti] — [Mipangilio bora] — [Kawaida] — [Kiwango sauti cha zao la sikizi dijitali] - Wakati unatumia ingizo la HDMI lenye Sauti Murua ya CD au DVD ya sauti, huenda DIGITAL AUDIO OUT (OPTICAL) isiweze kutoa mitambo ya sauti.