Chapisha

Muhtasari wa BRAVIA Sync

Ikiwa BRAVIA Sync-kifaa kinachotangamana (k,m., kicheza Blu-ray, kipokea AV) kimeunganishwa na kebo ya HDMI, au BRAVIA Sync-kifaa kinachotangamana (k.m., simu ya mkononi, kibao) imeunganishwa na kebo ya MHL (modeli za MHL pekee), unaweza kuendesha kifaa kwa kutumia rimoti ya TV.

Illustration of operating a BRAVIA Sync-compatible device