Chapisha

[Runinga]

Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Runinga] — chaguo unalotaka.

Chaguo zinazopatikana

[Usanidi wa Idhaa]
Husaidi mipangilio inayohusiana na kupokea vipindi vya matangazo.
Kupata vituo vya dijitali
Kupokea matangazo ya dijitali
Ili kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
Kupanga vituo au kuhariri orodha ya vipindi
[Ingizo za nje]
Husanidi mipangilio ya ingizo za nje na BRAVIA Sync.
Kwa maelezo kuhusu BRAVIA Sync, rejelea Vifaa vinavyotangamana na BRAVIA Sync.
[Onyesha]
Hurekebisha mipangilio ya picha na uonyesho wa skrini kama vile mwangaza wa skrini.
[Sauti]
Hurekebisha mipangilio ya sauti na chaguo zinazohusiana na spika.
[LED ya uangazaji]
Hugeuza Uangazaji wa LED kukufaa.
Kwa maelezo kuhusu LED ya Mwangaza, rejelea Jinsi taa za mwangaza za LED huwaka.
(Upatikanaji wa kitendaji hiki hutegemea modeli yako.)
[Nishati]
Hubadilisha mipangilio inayohusiana na matumizi ya nishati.
[Programu]
Hubadilisha mipangilio inayohusiana na programu.
[Taswira ya skrini]
Husanidi mipangilio ya kilezi.
[Kuhifadhi na kuweka upya]
Hubadilisha mipangilio inayohusiana na hifadhi ya data.
[Usanidi wa Mwanzo]
Huweka vipengele msingi kama vile mtandao na vituo kwa matumizi ya mara ya kwanza.
[Kuhusu]
Huonyesha maelezo kuhusu TV.

Kidokezo