Chapisha

Hakuna rangi/Picha ina giza/Rangi sio sahihi/Picha ina mwangaza sana.

Rekebisha rangi, mwangaza, ubora wa picha kwenye TV yako kutoka kwa [Picha].

  • Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uteue [Picha] ili kufanya marekebisho.
  • Ikiwa unataka kuweka upya mpangilio wa [Picha], bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uteue [Picha] — [Mipangilio bora] — [Weka upya].
  • Ukiweka [Kuhifadhi Nguvu] kwa [Chini] au [Juu], kiwango cha uweusi kitaboreshwa. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uteue [Mipangilio] — [Nishati] — [Ikolojia] — [Kuhifadhi Nguvu] kuwa [Zima] ili kuongezea mwangaza wa skrini.

Kumbuka

  • Ubora wa picha hutegemea mawimbi na maudhui.
  • Huenda ubora wa picha ukaongezwa ukiubadilisha katika [Picha] chini ya [Mipangilio].
    Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, chagua [Picha] — [Mipangilio bora], na urekebishe [Uangavu] au [Linganua].