Chapisha

TV haitoi picha na/au sauti kutoka kwenye kifaa cha MHL. (Modeli zinazokubali MHL pekee)

  • Tenganisha kebo ya MHL, kisha unganisha tena. Au zima kifaa cha MHL, kisha uwashe tena na uondoe kufuli ya skrini kwenye kifaa.
  • Kagua ikiwa kifaa chako kinakubali MHL.
  • Kagua ikiwa TV yako inakubali MHL.
    Alama ya (MHL) iko kando ya kituo cha HDMI IN 1/MHL kwa modeli zinazokubali MHL 2K, au kituo cha HDMI IN 2/MHL kwa modeli zinazokubali MHL 4K.