Chapisha

Hakuna rangi/Picha ina giza/Rangi sio sahihi/Picha ina mwangaza sana.

Rekebisha rangi, mwangaza, ubora wa picha kwenye TV yako kutoka kwa [Picha].

  • Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uchague [Picha] ili urekebishe.
  • Ikiwa unataka kuweka upya mipangilio ya [Picha], bonyeza kitufe cha ACTION MENU, kisha uchague [Picha] — [Mipangilio bora] — [Weka upya].
  • Ukiweka [Kuhifadhi Nguvu] kwa [Chini] au [Juu], kiwango cha uweusi kitaboreshwa. Bonyeza kitufe cha HOME, kisha uchague [Mipangilio] — [Mapendeleo ya Kifaa] — [Nishati] — [Kuhifadhi Nguvu] hadi [Zima] ili kuongezea mwangaza kwenye skrini.

Kumbuka

  • Ubora wa picha hutegemea mawimbi na maudhui.
  • Huenda ubora wa picha ukaongezwa ukiubadilisha katika [Picha] chini ya [Mipangilio].
    Bonyeza kitufe cha ACTION MENU, teua [Picha] — [Mipangilio bora] na urekebishe [Uangavu] au [Linganua].